Saturday, October 27, 2012

UVCCM wapongezana kwa kipigo DarHivi ndivyo UVCCM walivyowapokea viongozi wao wapya - kwa mabango na kichapo - katika ofisi za Makao Makuu ya Umoja huo leo.

Tujadili masuala haya

Magonjwa ya CCM na imani kwa JK au Dk. Ulimboka.

Thursday, October 11, 2012

Naibu Waziri Wa Sheria Na Katiba Akiwa Ghana

Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Angela Kairuki akiteta na Naibu Waziri Mkuu wa Zimbabwe, Dk. Arthur Mutambara katika kongamano la mwaka la wajasiriamali na viongozi wanaochipukia Barani Afrika, linalofanyika kwa siku tatu Accra, Ghana, kuanzia jana. (Picha na Ansbert Ngurumo)

Ngurumo Ahudhuria Mafunzo Accra Ghana


Mkurugenzi Mtendaji wa Vox Media, ambaye pia ni Naibu Mhariri Mtendaji wa Free Media, Ansbert Ngurumo, akiwa miongoni mwa washiriki wa kongamano la mwaka la wajasiriamali na viongozi wanaochipukia Barani Afrika, linalofanyika Jijini Accra, Ghana, kwa siku tatu kuanzia Jana.
My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'