tag:blogger.com,1999:blog-14108728.post2305759742570534249..comments2023-09-13T15:24:38.036+03:00Comments on Utakapojua Hujui Ndipo Utakapojua: Mengi anamsaidia Rais Kikwete?Ansbert Ngurumohttp://www.blogger.com/profile/12904753166436382997noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-14108728.post-10935417167869840172009-04-26T13:13:00.000+03:002009-04-26T13:13:00.000+03:00Nikupongeze tena brother kwa makala nzuri, makini ...Nikupongeze tena brother kwa makala nzuri, makini na iliojaa mashiko. Kama kawaida sijajuta kupoteza muda wangu baada ya kufika mwisho wa makala. Makala kama hizi zinawatofautisha waandishi na wababaishaji.<br /><br />Nimependa pale ulipotofautisha kile alichosema Mengi na Mengi mwenyewe kitu ambacho wengi wameshindwa. Nasikia mmoja kati ya hao wa5 waliotajwa alipoulizwa kuhusu haya alijibu kwamba hajibu lolote kwani anamuheshimu Mengi kama baba yake-jamani what is this tena?? Tunazungumzia tuhuma kwamba umetuibia si heshima yako kwa Mengi. It's fun kwamba bado watz tunakubali majibu mepesi kama haya kwa maswali magumu yenye masilahi ya Taifa.Anonymousnoreply@blogger.com