tag:blogger.com,1999:blog-14108728.post3187198364345141813..comments2023-09-13T15:24:38.036+03:00Comments on Utakapojua Hujui Ndipo Utakapojua: Mkapa, Kikwete wanatapatapaAnsbert Ngurumohttp://www.blogger.com/profile/12904753166436382997noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-14108728.post-83743527569441303002008-06-02T15:29:00.000+03:002008-06-02T15:29:00.000+03:00Umenena vema Ngurumo. Sasa wanatapatapa. Nini kita...Umenena vema Ngurumo. Sasa wanatapatapa. Nini kitafuata kama watanzania watatumia hali hii vizuri? Jibu wanalo watanzania wenyewe wanaochezewa mahepe mchana kweupe!<BR/>Kikwete hana mshipa wa kumshughulikia Mkapa maana ndiye aliyem-clone.<BR/>Lao moja na isitoshe maiti wote ni sawa hata wawe wamekufa kwa ugonjwa tofauti.<BR/>Mpayukaji Msemahovyo<BR/>Muhimu ni Kikwete kutia nukta akijua kuwa wakati umebadilika sana jana siyo sawa na leo.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-14108728.post-58538641154026315072008-06-01T11:14:00.000+03:002008-06-01T11:14:00.000+03:00Wote ni mafisadi tu, tofauti zao ni sura inayoonek...Wote ni mafisadi tu, tofauti zao ni sura inayoonekana nje. Mmoja anatabasamu, mwingine amenuna na ni mbabe. Lakini lao ni lile lile, kutumia marafiki na ndugu zao kuifilisi Tanzania.Anonymousnoreply@blogger.com