tag:blogger.com,1999:blog-14108728.post3503073560684252927..comments2023-09-13T15:24:38.036+03:00Comments on Utakapojua Hujui Ndipo Utakapojua: Adawi apigwa pichaAnsbert Ngurumohttp://www.blogger.com/profile/12904753166436382997noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-14108728.post-24169471185849717392011-02-23T17:38:34.505+03:002011-02-23T17:38:34.505+03:00wanaopaswa kukamatwa ni viongozi wa serikali si mm...wanaopaswa kukamatwa ni viongozi wa serikali si mmiliki huyo wa DowansAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-14108728.post-11790387619086130772011-02-23T13:42:49.629+03:002011-02-23T13:42:49.629+03:00The most important part of his statement ni pale a...The most important part of his statement ni pale aliposema kuwa Rostam Aziz ni rafiki yake. hii inamaanisha kuwa hata mkataba walioingia ni wa kirafiki. na mkataba unaohusisha watanzania, so watanzania pia tumeingizwa kwenye urafiki wao, and now they want us to pay the price. Hivi ni wapi kwenye suala la kikazi ukaingiza urafiki mambo yakaenda sawa jamani? This is a big joke!!!!!!!!!! Na kinachonishangaza ni kwa nini hakukamatwa!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-14108728.post-38544736247086264352011-02-22T22:49:55.959+03:002011-02-22T22:49:55.959+03:00yaani w wameshindwa kumtia hatiani mpaka kapanda m...yaani w wameshindwa kumtia hatiani mpaka kapanda mhuumu mkubwa wa uchumi wetu ghabachori....lolAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-14108728.post-23540605579639748062011-02-22T21:26:59.453+03:002011-02-22T21:26:59.453+03:00maskini watanzania, sa waandishi wetu walioenda ku...maskini watanzania, sa waandishi wetu walioenda kulala vichakani ili wapate picha za huyo jamaa zitasaidia nini baada ya hapo japo mwenyewe kwel nataka nimwone anafananaje coz hata jina limekaa kitanzania isije ikawa ni mtz aliukana utaifa wake ili aweze kuvuna bila was was!Anonymousnoreply@blogger.com