tag:blogger.com,1999:blog-14108728.post454026502411505270..comments2023-09-13T15:24:38.036+03:00Comments on Utakapojua Hujui Ndipo Utakapojua: Dk. Slaa alazwaAnsbert Ngurumohttp://www.blogger.com/profile/12904753166436382997noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-14108728.post-48190180392559873262010-08-11T08:49:28.905+03:002010-08-11T08:49:28.905+03:00Mengi sana tuyatasemwa kwa wakati huu nyeti wa kuk...Mengi sana tuyatasemwa kwa wakati huu nyeti wa kukariia uchaguzi mkuu hapo oktoba 31; na hasa kwa mgombea wa CHADEMA Dr. Slaa. Hayo ya mashushu wa CCM ni ya kwao; hayawezi kufifisha na kuubadili upepo na wimbi la joto la uchaguzi dhidi ya CCM.<br /><br />Kuumwa kwa Dr. Slaa wasifanye mtaji wa kuwalaghai wananchi kuwa nguvu na uwezo wa mgombea huyo vimetoweka. watumie mbinu nyingine; hii imefeli.Stellanoreply@blogger.com