tag:blogger.com,1999:blog-14108728.post4916308165909308900..comments2023-09-13T15:24:38.036+03:00Comments on Utakapojua Hujui Ndipo Utakapojua: Marais wastaafu wafe au washitakiwe?Ansbert Ngurumohttp://www.blogger.com/profile/12904753166436382997noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-14108728.post-9100253331774952152007-07-17T15:13:00.000+03:002007-07-17T15:13:00.000+03:00Ngurumo, hongera. Hawa jamaa wanaweza kujifnaya ha...Ngurumo, hongera. Hawa jamaa wanaweza kujifnaya hawasikii, lakini wanasikia, na kama hawasikii tutawaonyesha kilichomnyoa kanga manyiya shingoni. Siku hiyo yaja!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-14108728.post-27746878995013324522007-07-16T23:22:00.000+03:002007-07-16T23:22:00.000+03:00Kama chiluba, viongozi wetu wanavaa suti za wizi!!...Kama chiluba, viongozi wetu wanavaa suti za wizi!!! Chenge alihusika na maovu na ubadhilifu wote wa awamu ya Mkapa na Kikwete anaendelea nae atuibie vizuri huko miundombonu!! CCM ni "NOSTRA COSTRA" chama cha "MAFIA" ndio maana yeyote anayejaribu kuwaumbua atakufa kwasababu chama kinategemea fedha za wauza "UNGA" na nchi yetu imekuwa NARCO-REPUBLIC!!! Ansbert ikiwezekana kaa huko huko Hull uandike toka huko!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-14108728.post-26257908419508279512007-07-16T15:37:00.000+03:002007-07-16T15:37:00.000+03:00Naona umeendelea kuwapa ukweli wao. Na gazeti lime...Naona umeendelea kuwapa ukweli wao. Na gazeti limeongeza uzito wa kuanzia maswali magumu Front page. KIla la kheri, na masomo mema.Reggy'shttps://www.blogger.com/profile/16248284745877706720noreply@blogger.com