tag:blogger.com,1999:blog-14108728.post5414688142505079203..comments2023-09-13T15:24:38.036+03:00Comments on Utakapojua Hujui Ndipo Utakapojua: Funzo kutoka kwa ObamaAnsbert Ngurumohttp://www.blogger.com/profile/12904753166436382997noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-14108728.post-75707573867892030682009-01-22T05:35:00.000+03:002009-01-22T05:35:00.000+03:00Heshima kwako Kaka Ansbert. Ukweli ni kwamba vijan...Heshima kwako Kaka Ansbert. Ukweli ni kwamba vijana wa hapa (na hasa weusi) ungewauliza miaka miwili iliyopita juu ya SHUJAA wao wangekutajia majina kama LeBron James, Kobe Bryant, Michael Jordan, Jay Z na wengine wang'arao lakini leo ni tafsiri nyingine. Si wote lakini nimeona na kuwasikia watu wakisema ukweli. Lakini pia tujue funzo kuwa alijiandaa na pia aliandaliwa. Njia ilishatakaswa na wale waliofanya vibaya zaidi yake kama kina Jesse Jackson na waliopewa madaraka wakaonesha kujali taifa kuliko pesa hata pale ilipomaanisha kupoteza nafasi zao kama Collin Powel na wengine. Kuna maandalizi mema ambayo yanaendelea nyumbani ila ni sisi tusiojiandaa kumalizia kazi zilizoanzwa. Ukweli ni kwamba nyota njema huonekana asubuhi lakiini hutambulika jioni. Kwa hiyo tuanzapo kuonesha nyota njema tusitegemee itambulike wakati huohuo, na ikiandaliwa vema itang'aa vema na kuwa mwanga wa kuinurisha dunia.<BR/> Asante sana na HESHIMA KWAKOMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-14108728.post-49421923023839440302009-01-21T14:28:00.000+03:002009-01-21T14:28:00.000+03:00Obama amenifunza kwamba kasumba za kizamani na ima...Obama amenifunza kwamba kasumba za kizamani na imani potofu zilizojengwa na watawala wa muda mrefu vinaweza kushindwa. Lakini vitashindwa na wale wenye moyo, wasio wepesi wa kukatishwa tamaa.Anonymousnoreply@blogger.com