tag:blogger.com,1999:blog-14108728.post7143907887825736044..comments2023-09-13T15:24:38.036+03:00Comments on Utakapojua Hujui Ndipo Utakapojua: Kikwete mfa maji?Ansbert Ngurumohttp://www.blogger.com/profile/12904753166436382997noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-14108728.post-53383679211275762962007-11-24T11:03:00.000+03:002007-11-24T11:03:00.000+03:00jakaya ana macho yanaona vizuri kweli. Au ana mach...jakaya ana macho yanaona vizuri kweli. Au ana macho mia mia ndani ya ccm. Je ana agenda gani sana, hebu atuambie sisi wananchi, kwani dunia haina siri, mabomu yatalipuliwa kama hawi makini. Niseme nisiseme.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-14108728.post-38397836112180664902007-11-09T00:48:00.000+03:002007-11-09T00:48:00.000+03:00Na atakufa maji kwelikweli. JK mbabaishaji na muon...Na atakufa maji kwelikweli. JK mbabaishaji na muongo mkubwa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-14108728.post-33854468292080896512007-11-06T07:57:00.000+03:002007-11-06T07:57:00.000+03:00Ndugu yangu Tatizo kubwa ni kuwa sasa hivi kuna wa...Ndugu yangu Tatizo kubwa ni kuwa sasa hivi kuna watu wanafanya usanii tu katika siasa huko. Hivyo Tatizo sio kamati Tatizo ni Sheria za madini na hivyo hata kama wataunda kamati but wameingia tayari mikataba hiyo.... kama wanataka hivyo ni sawa na kuvunja mikataba na itakuwa ni ukiukwaji mkubwa sana katika sheria za kimataifa. Leo tunasema hivyo lakini kutakuwa na tume hiyo but hakuna jipya katika hili. wewe jiulize kitu kimoja toka aseme kuwa anapitia mikataba lakini watu wake na serikali yake ndio kwanza imeingia mikataba mengine?? yeye alikuwa hajui. Then Hapa cha Kujiuliza kuwa CCM imekuwa Madakani kwa Miaka 45 sasa hivi. Hivyo umaskini wa watanzania ni Wao ndio chanzo.. Hivyo. sioni kipya<BR/>Joshua MichaelAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-14108728.post-54736596294213089612007-11-06T07:39:00.000+03:002007-11-06T07:39:00.000+03:00Makala ya jana Tanzania Daima umesema ukweli kabis...Makala ya jana Tanzania Daima umesema ukweli kabisa juu ya CCM na mchezo wote wa Siasa za huko Tanzania. Sikiliza Hotuba ya Kikwete kama vile yupo kwenye kampeni vile.. Huo sio wakati wa kusema kuwa tutajenga barabara ua tutafanya hivi. Kukubaliwa Kikwete katika hili ni ushaidi tosha kuwa vyama vya upinzani umeonyesha kuimarika zaidi ya siasa hata hoja. Sasa hao mawaziri ambao walikuwa wanasema uongo waziwazi juu ya Upinzani. Umeonyesha mengi na kusema mengi na hivyo leo kufanya au kusema baada ya kelele za wananchi toka kambi ya upinzani. Jk anasoma alama tu lakini hakuna jipya huko katika serikali ya CCM hivyo kusema tu alikuwa anasema toka wakati hutoba yake ya kwanza bungeni sasa amefanya nini?? Toka mwaka wake wa kwanza. Hivyo hizo ni porojo za kisiasa tu. Kusema bila ya kutenda ni sawa na hakuna kitu. Jk ameshindwa anahitaji kusaidiwa sana toka upinzani na sio CCM. Kukubali kwake yote ni sawa na kusema kuwa sera zao zimeshindwa. Hivyo SIKILIZA HUTOBA ZAKE> NI SAWA KABISA NA MWAKA JUZI. Then kuna matatizo katika center ya serikali katika matumizi na ukubwa wake.<BR/>Josh Michael<BR/>ColoradoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-14108728.post-31428736816832666842007-11-06T03:55:00.000+03:002007-11-06T03:55:00.000+03:00hobger Ngurumo. Makala yako inasema ukweli mtupu. ...hobger Ngurumo. Makala yako inasema ukweli mtupu. Huu ujanja ujanja wa Kikwete tumeshaujua. Anataka kutuchekea huku watu wake wanatubia. Hatukubali hadi hapo atapokuwa amewashugulikia.Anonymousnoreply@blogger.com