tag:blogger.com,1999:blog-14108728.post7371866216184448339..comments2023-09-13T15:24:38.036+03:00Comments on Utakapojua Hujui Ndipo Utakapojua: Pole Mheshimiwa MudhihirAnsbert Ngurumohttp://www.blogger.com/profile/12904753166436382997noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-14108728.post-45269089681937162592007-09-28T12:11:00.000+03:002007-09-28T12:11:00.000+03:00mmoja anasema sawa!hila issue ipo kwenye,kufunga k...mmoja anasema sawa!
hila issue ipo kwenye,

kufunga kamba za viatu!

kushika kopo la maji msalani ili kutawadha/kuchamba.

kukumbatia.

kuvaa condom

kuvuta sigara huku na glass ya beer mkononi!

kumkunja na kuchapa mtu makofi kama ilivyotokea kwa Asha Baraka.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-14108728.post-51978765853180634252007-09-24T19:35:00.000+03:002007-09-24T19:35:00.000+03:00Huo ulemavu unaweza kuwa kipandio cha ubunge, cham...Huo ulemavu unaweza kuwa kipandio cha ubunge, chama kikamwonea huruma na kumteua na wananchi wakapiga kura za huruma. Si unawajua wananchi wetu?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-14108728.post-4191093117830672822007-09-24T19:25:00.000+03:002007-09-24T19:25:00.000+03:00Jamani sijui kama bunge lijalo atakuwa ndani ya ny...Jamani sijui kama bunge lijalo atakuwa ndani ya nyumba. wakati wengine wanasimamishwa na wanadamu kutimiza matakwa ya wengine, wengine wanasimamishwa na muumba wao. anyway yote maisha.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-14108728.post-85786112214054618512007-09-15T23:26:00.000+03:002007-09-15T23:26:00.000+03:00Pole mheshimiwa mbunge. Ya kawaida hayo,yamekuwa y...Pole mheshimiwa mbunge. Ya kawaida hayo,yamekuwa yanawapata wananchi wako kila mara kutokana na ubovu wa barabara au uendeshaji mbaya wa madereva. Heri wewe upo hai, wenzio walishatangulia! Pole.Anonymousnoreply@blogger.com