tag:blogger.com,1999:blog-14108728.post7563913651821350633..comments2023-09-13T15:24:38.036+03:00Comments on Utakapojua Hujui Ndipo Utakapojua: Hii ndiyo Kauli ya First Lady wa SlaaAnsbert Ngurumohttp://www.blogger.com/profile/12904753166436382997noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-14108728.post-57098841705025567652010-09-10T01:39:03.444+03:002010-09-10T01:39:03.444+03:00Yaani...CCM wanataka kutuswaga watanzania na kutuf...Yaani...CCM wanataka kutuswaga watanzania na kutufungia chumbani kwa Dr. Slaa ili tushangaeshangae tukitahamaki.... wamepita tena kwa kinachoitwa kishindo! Hongereni CHADEMA kwa msimamo unaotuthibitishia ukomavu wenu. Ni wapumbavu tu wanaohangaika kujadili masuala ya chumbani na kuacha masuala makini yanayohatarisha usalama na mustakhabali wa taifa zima.
CCM ni wanafunzi mbumbumbu kabisa wa Mwalimu Nyerere na ushahidi ni kina Kikwete waliopalilia ubaguzi miongoni mwa watanzania tena wanachama wenzao wa CCM kwa kuwaita wahamiaji haramu. Wamesahau kabisa onyo alilolitoa Baba wa taifa muda mfupi kabla hajatutoka alipofananisha wabaguzi na wachawi waliowahi kula nyama za watu kwamba huwa na kiu isiyokwisha.
Tunayafahamu mapungufu mengi ya vyumbani ya viongozi waandamizi wa CCM kuanzia mgombea wao wa uraisi hadi wadogo wa chini kabisa; lakini hatuoni sababu za kuyajadili kwa vile tuna mjadala muhimu, makini wa mustakabali wa taifa letu.
Tunasema Aluta continua; Chadema endeleeni kuwapa presha kina Makamba na ze komedi wao.
Hatudanganyikiiiiiiii........Majessahnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-14108728.post-50567053377949918472010-09-08T15:51:38.967+03:002010-09-08T15:51:38.967+03:00Ya Mrema na kimada wa kuchorwa Angelina, ya Dr. Sa...Ya Mrema na kimada wa kuchorwa Angelina, ya Dr. Salim Ahmed Salim na kifo cha kusingiziwa cha Hayati Rais Karume, ya CUF na visu na majambia vya kughushi, ya Dr. Slaa na shutuma za Ukatoliki, yalipita. Hili nalo la Dr. Slaa na Josephine litapita pia.

Watanzania, masikio yasikilize lakini akili ichuje na kuamua. Yote ya huko nyuma yalikuwa batili - uzushi, uwongo, fitina, n.k, kwa nini hili nalo lisiwe batili?Stellanoreply@blogger.com