tag:blogger.com,1999:blog-14108728.post7837691827329530744..comments2023-09-13T15:24:38.036+03:00Comments on Utakapojua Hujui Ndipo Utakapojua: TUENDAKO: Uchambuzi Bora kwa miaka 10Ansbert Ngurumohttp://www.blogger.com/profile/12904753166436382997noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-14108728.post-27567879200881771542011-06-16T02:28:09.639+03:002011-06-16T02:28:09.639+03:00hamu sana, shukranihamu sana, shukraniAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-14108728.post-39236694986803410442007-03-14T20:49:00.000+03:002007-03-14T20:49:00.000+03:00Kwani kujua masuala haya ndiko kuwa 'usalama wa ta...Kwani kujua masuala haya ndiko kuwa 'usalama wa taifa'? Kama mwandishi, anapaswa kuyajua haya. wala si yeye tu anayeyajua. Kwa taarifa yaho, waandishi wanawajua sana viongozi wetu. Tatizo ni kwamba hawaandiki hayo wanayoyajua, hadi wanapoamua, kama alivyofanya Kibanda. Angeweza kuacha na kufa nayo. Hii ndiyo sababu jamii huwa inawaheshimu waandishi, hasa wanapoamua kuwa wakweli na kulitumikia taifa kwa moyo mkunjufu usio na ushabiki wa chama tawala wala dola, kama wanavyofanya sasa na 'mzee wa tabasamu'.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-14108728.post-57654699156325936602007-03-14T14:49:00.000+03:002007-03-14T14:49:00.000+03:00Kibanda anatisha jamani!!! Hizo data sio mchezo? a...Kibanda anatisha jamani!!! Hizo data sio mchezo? au ana rafiki yake anafanya kazi usalama wa taifa? coz ni data za 'chini ya kapeti' kabisa!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-14108728.post-20246383562558497092007-03-14T02:28:00.000+03:002007-03-14T02:28:00.000+03:00Makala hii inafaa kutunzwa na kurejewa baadaye.Makala hii inafaa kutunzwa na kurejewa baadaye.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-14108728.post-45782878135190352812007-03-08T09:20:00.000+03:002007-03-08T09:20:00.000+03:00Makala safi sana,Chadema oyeee !!!!Makala safi sana,Chadema oyeee !!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-14108728.post-3643259313675523392007-03-08T01:05:00.000+03:002007-03-08T01:05:00.000+03:00Hii chuma kweli. Ilishasemwa kwamba Ukweli utawape...Hii chuma kweli. Ilishasemwa kwamba Ukweli utawapeni uhuru. Cudo Kibanda!Anonymousnoreply@blogger.com