tag:blogger.com,1999:blog-14108728.post8822876425381277062..comments2023-09-13T15:24:38.036+03:00Comments on Utakapojua Hujui Ndipo Utakapojua: Furaha ya Stars, ulevi wa watawalaAnsbert Ngurumohttp://www.blogger.com/profile/12904753166436382997noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-14108728.post-28594075871340915312007-06-21T18:12:00.000+03:002007-06-21T18:12:00.000+03:00Serikali inatumia mchezo wa mpira kuwahadaa wananc...Serikali inatumia mchezo wa mpira kuwahadaa wananchi ambao wanatumia mchezo huo kama burudani ya kusahau machungu ya maisha!! Ndio maana wametumia ushindi wa Taifa stars na kupangua ratiba ya bajeti ili kudetract wananchi kuikosoa. Ujanja huu ulitumiwa pia na "ADOLF HITLER" lakini mwishowe hauku msaidi. Watawala waelewe kuwa sio kila siku watanzania watadanganywa, siku wakiamua itakuwa balaa!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-14108728.post-85396166086246394402007-06-21T18:00:00.000+03:002007-06-21T18:00:00.000+03:00Nimesoma makala yako na nakubaliana na wewe kuhusu...Nimesoma makala yako na nakubaliana na wewe kuhusu serikali yetu kutokuwa na priorities zinazolenga kuboresha maisha ya kila mtanzania.Ndio maana badala ya kutenga fedha za kutosha kutengeneza barabara wanatenga fedha za kuongeza mikoa na wilaya vyote kivyo vikiongeza mzigo kwa wananchi!! Pia wanawahamisha maDC kila leo bila kufikiria financial implications zake kwa nchi!!Hawa ni wasanii.Anonymousnoreply@blogger.com