tag:blogger.com,1999:blog-14108728.post9168304823864940946..comments2023-09-13T15:24:38.036+03:00Comments on Utakapojua Hujui Ndipo Utakapojua: Serikali kuua 'chuo' hiki?Ansbert Ngurumohttp://www.blogger.com/profile/12904753166436382997noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-14108728.post-37349870852511052552007-02-05T16:22:00.000+03:002007-02-05T16:22:00.000+03:00Inakuwa vigumu kujua kama kweli hakielimu wametend...Inakuwa vigumu kujua kama kweli hakielimu wametenda visivyo kwenye matangazo vile wengine hatujayaona hayo matangazo.

Ombi kwa Wanablogu mnaotumia YouTube hapo nyumbani fanyeni mupandishe hizo filamu za matangazo japo nasi tushiriki kuona.

Katrika jarida hilo hilo aliloandika Ndimara kutetea hakiElimu hivi majuzi kuliandikwa makala juu ya taasisi nyingine - inayomshirikisha Mzee Idd Simba - inayofanya kazi ya kukusanya maoni kuhusiana na elimu. Walisema kuwa wameshatoa matokeo ya tafiti zao.Hawa hawajazuiwa kufanya kazi bila sensa ya serikali.

Naegemea kwenye kushawishika kuwa tofauti kati ya hizo taasisi mbili ni kampeni za kufikirisha umma. HakiElimu kama alivyosema Ndimara inafikirisha. Na isizuiwe.mwandanihttps://www.blogger.com/profile/17221079814940079302noreply@blogger.com