Sunday, November 29, 2009

Chafya ya Rais Mkapa

Hivi ni nani miongoni mwa vigogo mafisadi anayeweza kustahimili chafya ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa?
My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'