Tunahitaji kujua kwa sababu hatujui; na hatuwezi kujua kama hatujui kwamba hatujui...Hatutajua chochote iwapo hatutahoji na kudadisi. Na kadiri tunavyojua, ndivyo tunavyogundua kwamba hatujui...
Wednesday, September 14, 2005
Nani Anaimiliki Bendera Ya Taifa?
MVUTANO juu ya matumizi ya Bendera ya Taifa nchini Tanzania uliozuka katika kipindi cha kampeni za uchaguzi, umezua mjadala mpya katika jamii. Sasa watu wanahoji. Kwani Bendera ni nini hasa? Nani anaimiliki? Soma Hapa.
bendera ya taifa, nani anammiliki nyerere, na nani anastahili kutawala ni miongoni mwa mawazo potofu ya vigogo fulani fulani wa chama tawala ambao wenyewer wao bila kutawala wanaona mambo hayataenda! blogu hizi zina kazi kubwa ya kudai haki zetu za msingi zilizodhulumiwa siku nyingi!
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'
2 comments:
bendera ya taifa ya kila mtu.siku hizo kuna leso za bedera ya Taifa, namshangaa 'Mapuri aliwapa kwa kuwapa vibali'.
bendera ya taifa, nani anammiliki nyerere, na nani anastahili kutawala ni miongoni mwa mawazo potofu ya vigogo fulani fulani wa chama tawala ambao wenyewer wao bila kutawala wanaona mambo hayataenda! blogu hizi zina kazi kubwa ya kudai haki zetu za msingi zilizodhulumiwa siku nyingi!
aluta continua
Post a Comment