Thursday, April 12, 2007

Watawala wafe, taifa lifufuke

Hizi ndizo salaam zangu za Pasaka mwaka huu 2007 kwenu wasomaji. Zipo HAPA.

1 comment:

Sadiq said...

Hongera kwa tafakuri murua! Kumbe hata masuala ya dini wamo! Sikuwahi kufikiria mchango wa Tomaso kwetu sisi wa kizazi hiki...hata tusio Wakristo.

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'