Sunday, March 25, 2007

MAKALA ZA WANAMTANDAO: Ubabe wa Mkapa, Tabasamu la Kikwete

Soma hapa kisha endelea na sehemu ya pili. Ya Tatu, Wanamtandao wanamtosa Rais wetu?

5 comments:

Matutu said...

HONGERA KWA HABARI ZAKO MURUA, ILA NAKUMBUKA UCHUMI WETU UNAANGUSHWA NA UBINAFSI NDANI YA VIGOGO< TZ INA RASLIMALI NONO TU.

P'cky said...

mawazo, fikra, mpangilio mzuri na ukweli uliopo vimeifanya makala (march. 25) iwe ya kuvutia na kumfanya m2 azidi kufuatilia zaidi. Mungu azidi kukufanikisha. P'cky.

Fr. JB Itaruma said...

Hongera kwa article nzuri kijana kwenye gazeti lako! JK anakusalimia sana! Hongera pia kwa nafasi ya masomo ya juu. Fr. JB Itaruma

Anonymous said...

Ngurumo, tusubiri tu miaka 10 imalizike tukiongozwa na wasanii. Hata hivyo, usikate tamaa, endelea kuelimisha kwa makala zako labda wataelewa wanamtandao hawa!

Bwaya said...

Kumbe wapo waandishi amabao hawajanunuliwa? Hongera kaka.

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'