Friday, May 01, 2009

Bibi harusi mfupi sana


Unamjua bibi harusi mfupi sana ambaye ilibidi apande kiti ili aweze kumbusu mumewe mara baada ya kufunga ndoa? Habari yenyewe hii hapa.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

mmh kazi kwelikweli. na pia Hongera kwa kugunga ndoa

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'