Sunday, September 13, 2009

Rais Kikwete amefanikiwa kujidanganya


BAADA ya kumsikiliza Rais Jakaya Kikwete akijaribu kujibu maswali ya wananchi katika televisheni, huku nikijua kuwa hizo ni propaganda za kisiasa kuelekea 2010, nimeridhika kwamba hajamndanganya mtu yeyote bali yeye mwenyewe. Kwanini? Soma hapa.

1 comment:

majaliwa said...

Ngurumo msemo wako kwamba: Tunahitaji kujua kwa sababu hatujui; na hatuwezi kujua kama hatujui kwamba hatujui...Hatutajua chochote iwapo hatutahoji na kudadisi. Na kadiri tunavyojua, ndivyo tunavyogundua kwamba hatujui..." umenichanganya naomba unisaidie:kama tuna uwezo wa kusema "tunahitaji kujua kwasababu hatujui" hili,by definition,basi " inamaanisha tumeshagundua kwamba "hatujui"! Kama tumegundua hatujui basi tumeshajua. Kwahiyo logic hapa is a case of circular referencing... ni mpango wa maneno tu au?

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'