- Ansbert Ngurumo
- Maisha yangu yamezungukwa na kuchongwa na Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo; siogopi wala kupendelea au kubagua binadamu yeyote. Tatizo langu: sivumilii ujinga na sina utii wa kikondoo kwa wenye mamlaka. Kuhoji na kudadisi ni sehemu ya maisha yangu itokanayo na hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'
Muziki wa Kwaya
Midundo Mikali: Burudika
Blogu Yangu Ya Kiingereza
Sunday, May 31, 2009
Thursday, May 28, 2009
Ferguson akiri kuzidiwa kete
Kwa kauli yake na wachezaji wake, na jinsi sote tulivyoshuhudia, Barcelona ndiyo timu bora. Soma hapa
Monday, May 25, 2009
Friday, May 22, 2009
Friday, May 01, 2009
Bibi harusi mfupi sana

Unamjua bibi harusi mfupi sana ambaye ilibidi apande kiti ili aweze kumbusu mumewe mara baada ya kufunga ndoa? Habari yenyewe hii hapa.
Mtoto jiniasi kuliko wote

Mtoto huyu Elise Tan Roberts ana umri wa miaka miwili tu, lakini anaonekana kuwa na kiwango kikubwa mno cha uwezo kiakili - ambacho wenzetu wanaita IQ - na amekuwa mtoto jiniasi mwenye umri mdogo kuliko wote. Anajua makao makuu ya 'karibu kila nchi' duniani. Anapoulizwa hapotezi muda kufikiri, bali anaporomosha jibu kama 'hana akili nzuri.' Mtazame kidogo hapa akihojiwa, naye akimhoji ripota.
Subscribe to:
Posts (Atom)