Sunday, May 06, 2007

Kina Chiluba Wengi Afrika

Tunazungumzia kupiga vita rushwa? Zambia imetoa mfano na funzo kwetu. Nasi Tanzania tunao kina Chiluba wengi. Badala ya kuwachukulia hatua tunawalinda. BOFYA HAPA.

6 comments:

Anonymous said...

TheChiluba's are so many in Africa. Every country has got a handful of them; and they are well known. What is lacking, however, is the will to take them to task, because their successors are treading in the same foot prints. Mwanawasa has paved the way. Let other African presidents follow steps and take action.

Anonymous said...

NDIYO. KINA MKAPA NA CHENGE WANA MENGI YA KUJIBU MBELE YA WATZ. HATA HAWA WALIOPO, NAONZA WAMEANZA MAPEMA. SIJUI TUTAISHIA WAPI KAMA VIONGOZI WETU WANATUMBUA HALAFU BAADA YA MIAKA 10 WANAISHIA.

MWANAWASA DESERVES CONGRATULATION AND EMULATION. HE IS A SHINING STAR ON THE CONTINENT. AND THIS IS WHAT WE CALL POLITICAL WILL.

Anonymous said...

jamani lazima tufanye mabadiliko hawa ccm wangoke!chadema ichukue nchi 2010.

Anonymous said...

Sio issue ya chadema, bali ya kuwatake to task viongozi wabadhirifu. Usilete za kuleta hapa hakuan itikadi. Tunazungumzia masula ya kitaifa, wewe unaleta itikadi za vyama hapa? Poor thinker!

Anonymous said...

Kikwete hawezi kuwa na ujasiri wa Mwanawasa wa kuwaweka kizimbani wakina Chenge na kundi lake kwasababu hataki kuweka precedent kwa yeye na kundi lake kuwekwa kizimbani mara ngwe yake itakapokwisha!!!

Anonymous said...

Rais wetu na genge lake si wasafi kwa hiyo hawana "moral authority" ya kufanya aliyofanya Mwanawasa.Kudhihilisha nisemayo, we angalia ni nani marafiki wakubwa na washauri wa Rais!! Wengi ni watu wenye "questionable character" . Waingereza wana msemo " SHOW ME YOUR FRIEND AND I SHALL TELL YOU YOUR CHARACTER"

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'