Sunday, May 13, 2007

Mwanza ina nini na Rais Kikwete?

Kwanza kuvamiwa jukwaani; pili mapanki; na sasa Chitalilo. Kwa NINI?

7 comments:

Anonymous said...

Hongera sana Ngurumo!!
You have analysed the event na kuonyesha umahiri mkubwa siyo tu wa kuandika bali pia wa kuoanisha matukio na kauli za kisiasa na mstakabali wa nchi yetu na utawala wa sheria.
Nimefurahi sana!!
analystmunge@yahoo.com

Anonymous said...

Ndugu Ngurumo, asante sana kwa michango yote unayotoa kwa taifa hili. Nimekuwa navutiwa sana na hoja zako tangu ukiwa rai, na sasa safu yako ya maswali magumu ktk Tanzania Daima ya Jumapili. Hili la rais na kauli tata limenikumbusha kauli ya rais mstaafu wa awamu ya pili na nyongeza hewa za mishahara! Tatizo ni kuwapa uongozi watu wasiostahili. Aliyekuwa rais wa kufaa - Salim - walimpiga madongo. Sasa badala ya kufanya kazi wanaendelea na siasa za kijiweni.+255784216962

Anonymous said...

Hongera sana kwa makala ya Mwanza ina nini, na umeongea ukweli mtupu. Sasa nadhani umesikia Takuru wamesema nini kuhusu sakata la Richmond. Wamewatukana sana Watanzania kuwa ni vipofu, hawawezi kuona kuwa suala la Richmond ni rushwa tupu! Binafsi, sina imani kabisa na Takuru. Kwani wao wanakuwa ni pro-coeeuption badala ya kuwa anti-corruption.

Anonymous said...

Bwana Ngurumo, naitwa Karuguru, naombanikupongeze kwa makala ya leo kwa mh. JK na aides wake, kwa kweli usanii unaofanyika sasa ni mithili ya Pwagu na Pwaguzi.

Anonymous said...

Za asubuhi. kwanza nakupongeza kwa makala yako nzuri ktk gazeti la Tanzania Daima. Sitatoa sifa nyingi nikatia maji.

Anonymous said...

Dear Ansbert,
You are doing a good job for your country through your sunday column. Please keep it up!! people like Bagenda should not deter you because we know on whose payroll they are on. Wanamtandao ni wasanii tu ona mpaka sasa TRC haijabinafsiswa kwa sababu wamemuweka mwanamtandao maslahi mwenzao PSRC asiyeimudu kazi nasi wananchi tunaumia!!

Anonymous said...

Rais wetu ataendelea kufanya makosa ya kumdhalilisha mpaka hapo atakapotambua kuwa kuwapa vyeo watu kwa misingi ya " kimtandao" hakutamsaidia kujenga legacy ya urais wake!! Watu wapewe vyeo kwa uwezo si kwa vile walimuunga mkono wakati wa kinyang'anyiro cha urais.

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'