
Hivi ndivyo baadhi ya waliomfahamu Amina Chifupa walivyoandika juu yake. Alipigwa picha hii siku alikuwa anakula kiapo Bungeni, Desemba 2005.
Tunahitaji kujua kwa sababu hatujui; na hatuwezi kujua kama hatujui kwamba hatujui...Hatutajua chochote iwapo hatutahoji na kudadisi. Na kadiri tunavyojua, ndivyo tunavyogundua kwamba hatujui...