Wednesday, June 20, 2007

Furaha ya Stars, ulevi wa watawala

Watawala wetu wanataka kufunika machungu ya bajeti ya serikali kwa chereko za ushindi wa Taifa Stars dhidi ya Burkinafaso? SOMA HAPA

2 comments:

Anonymous said...

Nimesoma makala yako na nakubaliana na wewe kuhusu serikali yetu kutokuwa na priorities zinazolenga kuboresha maisha ya kila mtanzania.Ndio maana badala ya kutenga fedha za kutosha kutengeneza barabara wanatenga fedha za kuongeza mikoa na wilaya vyote kivyo vikiongeza mzigo kwa wananchi!! Pia wanawahamisha maDC kila leo bila kufikiria financial implications zake kwa nchi!!Hawa ni wasanii.

siriha said...

Serikali inatumia mchezo wa mpira kuwahadaa wananchi ambao wanatumia mchezo huo kama burudani ya kusahau machungu ya maisha!! Ndio maana wametumia ushindi wa Taifa stars na kupangua ratiba ya bajeti ili kudetract wananchi kuikosoa. Ujanja huu ulitumiwa pia na "ADOLF HITLER" lakini mwishowe hauku msaidi. Watawala waelewe kuwa sio kila siku watanzania watadanganywa, siku wakiamua itakuwa balaa!!

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'