Sunday, June 24, 2007

Uzalendo wa Meghji unatia shaka

Tuhoji upeo wa Waziri wa Fedha, Zakhia Meghji, katika suala la uzalendo.

3 comments:

Siriha said...

Meghji hana uzalendo hata siku moja na hilo wananchi wanalijua na ndio maana hajawahi kuchaguliwa hata mara moja, yeye huteuliwa na watawala kwa vile anatumiwa vizuri kutimiza azma zao za kuhujumu nchi yetu!!! Ndio maana kila jumatatu asubuhi mweka hazina wa CCM YUPO HAZINA OFISINI KWA MEGHJI!!! Hatushangai hao ndio wana mtandao wanafanya vitu vyao kuwaliza watanzania!!!

KALUNDI said...

Watanzania ni watu wenye busara sana. Jakaya unfortunately takes them for granted at his own peril.!! Hii itajionesha kwenye uchaguzi wa NEC pale wapambe wake wengi akiwemo Meghji watakapokosa kuchaguliwa. Ilikwishatokea pale alipompigia debe Prof. Wangwe kuwa mbunge wa Afrika Mashariki lakini wabunge wakamtupa nje.!!! Muda unayoyoma na wanamtandao bado wanasherehekea ushindi wa 2005!!!!

Anonymous said...

Zakhia yeye ajiona mwarabu mwenzenu she doesn't give a damn na huo umandingo wenu. Yeye anatengeneza njia za pensheni yake. He hawa viongozi wetu hawana aibu hata utu umewatoka halafu hawataki kabisa kuandikwa magazetini kwani wananchi wanasoma magazeti siku hizi. Haya basi na wamalize nchi yote ili wafurahi wao.

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'