Sunday, July 01, 2007

Amina aliiogopa CCM kuliko wauza mihadarati

Alisema: "nawajua ni watu wa namna gani...wanaweza kunidhuru...”

2 comments:

Anonymous said...

ndugu mhariri
ningependa sana kusema mbona mambo ya chama yanajulikana. madaraka ni sehemu ya watu kumalizana kwa kila njia,
tuna mifano mingi sana iliyopita ya watu ambao tu wamepoteza maisha yao kwa sababu ya kutaka kuingia kwenye siasa na wapo ambao tu walipoanza mbio za kuingia kwenye uongozi na maisha yao yakafikia mwisho.
tunamkumbuka ipyana malecela na mzee kolimba yaliyowakuta kwa kuwa wakweli ndani ya watanzania. jee Amina naye yalimkuta haya maana nae alitaka kugombea nafasi ya juu ya uongozi ndani ya umoja wa vijana na ndio sababu ya mtoto wa watu kwenda mapema. Jee watanzania tunajifunza nini na msiba huu, jee tutabaki hivi hivi mapaka lini,nina uhakika kuna wengine nao watafuatia maana kuna mambo ya BOT kuna uozo wa kufa mtu. kuna wizi ambao unafanywa na watu ambao ni wamepewa dhamana ndani ya benki tena ni watu ambao wao ni marubani.

Jee kwa mtaji huu wa siasa za kumalizana na wale ambao wanatakiwa kusaidia kutoa ushahidi wa wizi huo jee watapona?
ikumbukwe hapa inagusa wengi sana ndani ya serikali na benki na wafanyabiashara. Mie binafsi siwezi sogea kutoa ushahidi maana ukweli unajulikana na watu hawataki kuachia madaraka na wako tayari kuwamaliza watu kwa njia yeyote, jee ni nani na akili zake za kibinadamu ajitolee kusema ukweli tena na halafu yamkute kama ya Chifupa.
cha muhimu nchi hii haina dira tena ni mambo ya kumalizana mpaka watu waishe juu ndio na sisi tutapona. Namuomba Mungu atulinde na hawa manyangau wasio na huruma na roho za watu.

Siriha said...

The death of Amina Chifupa must be analysed in the totality of Tanzanian politics.During the CCM presidential nomination contests, alot of money was spent campaigning for the person who eventually became our President. Among the people who financed the campaigns were drug traffickers who Amina threatened with her campaign to expose them to the public; our leaders could not protect her because they are under the payroll of these drug-barons!!! Consequently, she had to die. Mungu tuonee huruma watanzania.

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'