Friday, May 30, 2008

Muuaji wa Ballali anajulikana

Licha ya utata wa kifo cha aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Daudi Ballali, vyanzo vya kuaminika vimemtaja mtu aliyetajwa na Ballali kwamba ndiye alimlisha sumu.

2 comments:

Anonymous said...

soma comments zangu kwenye ukurasa wa makala yako gazetini.

Anonymous said...

Ni siri iliyo uci kwamba Mwaka 2005 CCM aliiba kutoka katika Hazina yetu kuwa-idhini ya Mkapa kwa lengo la kununua/ kuiba kura zilizomwingiza Kikwete Madarakani. Hivyo kutumaini kwamba Kikwete anaweza kumchukulia hatua au kumfunua Mkapa ni sawa na kumwambia Mtu amwambie mamae apandishe gauni na kunyayua mguu aangalie usafi wa pale alipotokea LAANA ya jambo hilo lazima itamrudia vibaya sana. Hivyo ni sahihi kutafuta njia mbadala wa kumfikisha Mkapa mahali anapostahili kama vili ilivyoukuwa kwa akina Chiluba, Noriga, Estrader nk

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'