Sunday, April 20, 2008

Tuwanyonge viongozi wa umma

Baada ya kukithiri kwa ufisadi serikalini, wananchi wengi wamekuwa wanahoji: "Tufanye nini?" Nadhani huu ni wakati mwafaka, tuanze kujadili majibu ya swali hili. Pendekezo langu la kwanza ni hili hapa. Linaendelezwa hapa.

10 comments:

Anonymous said...

maoni yangu nimetoa kwenye stori

Salum said...

Tuanze na list of shame ya Dk. Slaa

Juma said...

WaKATI UMEFIKA HAWA JAMAA WAONDOKE, KAMA HAWATAKI KUONDOKA KWA HIARI, TUNA UWEZO WA KUTUMIA NGUVU YA UMMA AU CHOCHOTE KINACHOWEZA KUTUSAIDIA WAONDOKE. HAWANA FAIDA KWA TAIFA, NI HASARA TUPU!

Anonymous said...

Tuanze na rais, akishaondoka huyo wengine watafuata mkondo wa maji. yeye ndiye kigingi kinacholinda mafisadi wasishughulikiwe. katina inampa rais madaraka mkubwa, lakini hana uwezo wa kuyatumia kuondoa uozo kwenye serikali yake.

Anonymous said...

Kikwete anawalinda mafisadi wenzie sasa sisi wananchi tunaoteseka tuna jia nyingi tunazowezakuzitumia kuhakikisha kuwa hawa mafisadi wanawajibikka; moja ni hii wananchi walioitumia ya kuwazomea viongozi mafisadi popote watakapoonekana kwenye hadhara. Hii ni mbinu effective sana na iliwakosesha raha sana viongozi wa ccm. Kuwazomea kutaonesha kwamba hatukubaliani nao na hivyo itawalazimu kuachia ngazi. Na hii isibague hata Jakaya azomewe kwani yeye ndio mhimili wa hawa mafisadi. Baadae ikishindikana kuwanyonga is another good option kwani vitendo vyao vinawanyonga wananchi polepole' bottomline ni kwamba wote tutakufa!!

Anonymous said...

Lazima aondoke huyo kikwete tunataka mbowe awe rais wetu kisha ikulu uhamie bilicanas na waliotaka kusomea upadre na kuacha wawe mawaziri

Sam said...

Wewe mchangiaji uliyepita una mawazo mafu, maana si ya kitoto, hata watoto wangekuwa na la kuandika lenye kuonyesha umakini wao. Watu wengine kumbe mmelaaniwa ndiyo maana hatuendelei. Hoja ya Ngurumo imesimama imara, hata mkicheza ngoma za kitoto, mjue tu kuwa hazikishi...Bora hayo uliyosema ungemwambia Salva Rweyemamu, Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu. Ujinga mtupu! Ngurumo usife oyo, endelea kuwatwanga vibaka hawa. Umma wa Watanzania uko nyuma yako..

Anonymous said...

Ngurumo, hao wachangiaje wenye makengeza ya akili wasikuzuie kufanya vitu vyako. Tuko nyuma yako.

Mwarobaini said...

Ni kwa kuelezana ukweli tu ndiyo nchi yetu inaweza kunusurika na ulaji uliyokithiri.

Watanzania waache kulalamika vijiweni sasa. Umefika wakati wa kutumia kura kuadabisha vyama ambavyo vinaendekeza ulaji.

Anonymous said...

unaota kweli,hivi nnjii hii apewe mchaga itakuwa nchi? makabila maarufu kushika uongozi bongo ni hadithi.

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'