Sunday, June 01, 2008

Mkapa, Kikwete wanatapatapa

Soma hapa utoe maoni yako.

2 comments:

Anonymous said...

Wote ni mafisadi tu, tofauti zao ni sura inayoonekana nje. Mmoja anatabasamu, mwingine amenuna na ni mbabe. Lakini lao ni lile lile, kutumia marafiki na ndugu zao kuifilisi Tanzania.

Anonymous said...

Umenena vema Ngurumo. Sasa wanatapatapa. Nini kitafuata kama watanzania watatumia hali hii vizuri? Jibu wanalo watanzania wenyewe wanaochezewa mahepe mchana kweupe!
Kikwete hana mshipa wa kumshughulikia Mkapa maana ndiye aliyem-clone.
Lao moja na isitoshe maiti wote ni sawa hata wawe wamekufa kwa ugonjwa tofauti.
Mpayukaji Msemahovyo
Muhimu ni Kikwete kutia nukta akijua kuwa wakati umebadilika sana jana siyo sawa na leo.

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'