Sunday, November 02, 2008

Tumsamehe Rais Kikwete

Rais Jakaya Kikwete amewasamehe rasmi wezi wa EPA. SWALI LANGU: Na sisi tumsamehe yeye, yaishe?

3 comments:

Anonymous said...

Mi nashauri watanzania tuwe na subira kidogo. Swala la mafisadi wa EPA nafikiri ni zito kidogo na linahitaji busara katika kulitatua.
Rais wetu akienda kichwa kichwa, matokeo yake atashindwa kesi na atakuwa amepoteza nguvu zake na pesa za walipa kodi bure.
Alafu Rais hawezi kuwataja, kabla haijathibitika kuwa hao ndio waliochukua izi pesa, kwani akiwataja bila uhakika atakuwa anahukumu, wakati mwenye mamlaka ya kutoa hukumu ni mahakama

Nafikiri its too early kusema kuwa Rais ameshindwa. let us give him until 2010. Akishindwa watanzania ndio tuamue kwenye kura.

nashukuru kwa kuniskiliza.

mdau

Anonymous said...

We mdau nadhani you are a slow thinker...kama ni muda mbona alipewa tu, miaka mitatu. Watu tunatazama mwenendo wa utawala, na jinsi vingozi wanavyofanya maamuzi na kuchukua hatua au wanavyoshindwa. Wewe bado una shaka kuhusu kushindwa kwa JK? Suala la EPA linapaswa kuchunguzwa na rais au polisi? Kesi zinazowahusu wezi wengine zinachunguzwa kwa maagizo ya rais? Huoni kwamba analichunguza hili kwa kuwa anahusika? Au kwa sababu watu wake wa karibu wanahusika?

Kuwataja wahusika ni mtego aliowekewa tu kwa kuwa wahusika wanafahamika...tatizo ni wafadhili wake, rafiki zake, wapambe wake, na wanamkakati wenzake. lakini kikubwa zaidi ni kwamba pesa hizo ndizo zilitumika "kununua" urais wake. JK amefungwa mikono.

Tatizo la Tanzania sasa linafahamika vema, maana TUNA VIONGOZI SLOW THINKERS (wanaojitapa kuwa na kasi mpya), na TUNA WANANCHI SLOW THINKERS wanaoshindwa kutafsiri haraka matukio kama haya.

Anonymous said...

mbona unaleta dharau, kytokukubaliana kwangu na mawazo yako au accusations mnazozifanya kwa rais wetu hakunifanyi mimi niwe slow thinker. this is an open discussion na ninafikiri kila mtu aheshimu mawazo ya wenzake.

and it is with these discussions different people looking at the different sides of the coin, we will arrive at a reasonable solution.
this is a proplem with people here only looking on the negative.
so if i may ask you a question, what have you done so far to correct a situation? or you are just one of those who make a lot of noise on the internet because nobody can see you....

by the way, do you have any evidence kuwa hizo pesa zilitumika kwenye compaign, or you are just speculating???

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'