Monday, November 17, 2008

Tusilainishwe na Tabasamu

Tabasamu gani hilo? Tumelainikaje? Soma HAPA. Mwendelezo wake huu hapa: 0002 na 0003

5 comments:

Markus Mpangala said...

Nakupenda kaka Ngurumo, ninakusoma sana kwani nilianza kukusoma nikiwa mdogo, sasa naamini nimekua nipo katika sekta ya habari siachi kukusoma kwani ninapenda maswali magumu kama ulivyopata tuzo enzi zile kama sikosei. Ninakufananisha na MICHAEL MOORE yule aliyeandika kitabu cha STUPID WHITEMAN jinsi alivyo mkosoa Joji Kichaka{BUSH}au kama NDESANJO MACHA{much respect}. nina kupenda kwasababu kuu kwamba unapigania kuondoa mazoea ya wanahabari na watawala. ninakupenda na sitoacha kukusoma daima.Ingawa kuna watu wanaandika kukupinga na kukusema mambo mengi lakini nimegundua wanaungaunga hoja zao. TUWAACHE tusonge mbele. KWA MAKALA HII wakiendelea kuchonga midomo nitashangaa kwani imebeba uhalisia inahoji,inajenga jamii mpya. TABASAMU WAKATI WATU TUNA NJAA??? eti lutumie lugha laini ha ha ha ha hawana hoja tatizo lao ni matumizi ya lugha tu. kumbuka tu riwanya ya AN ENEMY OF THE PEOPLE. kazi njema Maswali ya wiki hii yameua kabisa yaani sijui itakuwaje juma lijalo. wewe ni mwamba kama NDESANJO na katika mwamba huu nitajenga AKILI ZANGU ninufaike.

Bahati said...

Hi
Nimejaribu kupata email yako hapa sijapata nitashukuru tukiwasiliana

Kazi Nzuri

Bahati
biasharawapi AT gmail.com

Ramadhani Msangi said...

nimerejea kwa kasi kubwa zaidi ya ile ya awali kamanda. Pitia www.uchambuzi.blogspot.com

Markus Mpangala said...

Mr Bahati kama ni mimi unaweza kunipata katika lundunyasa@yahoo.com au jikomboe@yahoo.com.

Je unapomshtaki mfanyakazi wa idara ya fedha, waziri wa fedha atapona? je Rais wake atapona? unasema kiunganishi wa kurugenzi na idara anashtakiwa je wakurugenzi watapona? kuhoji hivi ni kutafuta vyeo? lakini tabia hii ya kwetu bongo ya kutumia lugha laini inaonekana kama sheria inasema hivyo kumbe sivyo. Inabidi tukasirike ili waelewe kwamba hatufurahishwi na mwenendo wao. Yule Mbunge aliyefoji vyeti wamemfanyaje? Je yule mbunge aliyedhaminiwa na benki kuu wamemfanyaje? hapo ndipo unakubaliana na Ndesanjo Macha kwamba tunahitajai kuanza upya au kama ulivyosema Mkuu kwamba Hatuvunji nyumba tunabomoa mlango.
JIKOMBOE, UHURU DAIMA

Markus Mpangala said...

samahani hiyo anuani ya jikomboe ni jikomboe@gmail.com siyo yahoo.

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'