Sunday, July 12, 2009

Ujumbe wa Obama kwa Afrika

Rais wa Marekani, Barack Obama, ametoa ujumbe mzito kwa watawala wa Afrika. Ni ujumbe mzuri, ingawa una upungufu wake, ambao nitaujadili baadaye wiki hii.

1 comment:

Majaliwa said...

Kweli Ngurumo,ulikua ujumbe mzuri...tunangojea uchambuzi wako kwa hamu.Mimi nimetoa maoni kwenye Blogu langu nanyi mnaweza kusoma (http://wachumi.blogspot.com)...video ya speech pia ipo pale (http://wachumi.blogspot.com/2009/07/africas-coice-obama-in-ghanayes-you-can.html).Asante,M

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'