Saturday, January 14, 2012

Goli la kizembe, na la kifundi


1. Huu ni uzembe wa golikipa. 2. Na huu hapa ni umahiri wa mfungaji - HENRY.

1 comment:

Subi Nukta said...

Kaka umepotea sana hapa kijiweni.
Heri ya Mwaka Mpya!
Pole na shughuli za kila leo.
Ufanikiwe zaidi na zaidi!

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'