Thursday, February 02, 2012

Jasho letu na vipato vyetu


Picha inazungumza yenyewe. Nimeipata mahali, nikasema ngoja niiweke.

1 comment:

Stella said...

Mkuu au umesahau zile posho nyingine? Ya kujikimu (per diem) 80,000/- na usafiri (travel allowance) 50,000/- Jumla ni 330,000/- halafu tuzilinganisha na 10,000/- Hapana, tulikofika panatosha!

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'