Tunahitaji kujua kwa sababu hatujui; na hatuwezi kujua kama hatujui kwamba hatujui...Hatutajua chochote iwapo hatutahoji na kudadisi. Na kadiri tunavyojua, ndivyo tunavyogundua kwamba hatujui...
Nimeipata hii kwenye mtandao wa BBC, nikadhani inaweza kusaidia kutufikirisha zaidi kuhusu ujasiriamali. Jamaa katumia magari mabovu kutengeneza mtambo wa kondomu. Jisomee mwenyewe habari yakehapa.
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'
No comments:
Post a Comment