Sunday, December 24, 2006

Baada ya mwaka Ikulu: Kikwete anayo furaha?

Baada ya mwaka mmoja Ikulu, Rais Jakaya Kikwete amebakiza miaka mitatu (si minne) madarakani. Anayo furaha aliyokuwa nayo awali? Watanzania wanayo furaha? Ameweza au ameshindwa nini? Bofya hapa tuulizane maswali.

1 comment:

ndesanjo said...

Mzee wa nguvu mpya kabakiza miaka mitatu?! Huenda sasa nguvu mpya ndio zitaanza kazi. Au labda kwenye kipindi cha mwisho (akichaguliwa) ndio ataanza kutimiza ahadi moja baada ya nyingine.

Tujiulize.

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'