Friday, December 01, 2006

Mbowe na Obasanjo warejea darasani


Wanasiasa hawa wawili, Rais wa Nigeria, Olusegun Obasanjo, na aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania mwaka 2005, Freeman Mbowe, wamefanana katika jambo moja mwaka huu - kurejea shule, kunoa ubongo. Tusisahau Waziri Mkuu, Frederick Sumaye, naye alijiunga na Chuo Kikuu cha Havard mapema mwaka huu.

1 comment:

Anonymous said...

Hivi hizi shule za waheshimiwa ni kwa manufaa yao binafsi tu au kutachagiza maendeleo ya nchi zetu?
Kwa siasa za kiafrika leo hii, sidhani kama hata elimu inahitajika.Manake kadri mambo yalivyo sasa ni kupendeleana na kubebana kwa sana. Na siasa inaonekana kama vile kutozingatia yale ya darasani wanasema kuna tofauti ya theory na practical: ona Makamba ndie katibu mkuu wa ccm mwenye sera za kuua upinzani. Unafikiri angekuwa msomi angeweza fanya haya?
Tumekwisha.

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'