Friday, April 18, 2008

Obama apanda, Clinton ashuka


Utafiti mpya wa Yahoo! News Unaonyesha kuwa Barrack Obama anapanda, Hillary Clinton anashuka chati. Wote wanawania kupitishwa na chama cha Democratic kugombea urais Marekani, kupambana na mgombea wa Republican, John MacCain.

3 comments:

Anonymous said...

jina la chama ni Democratic

Ansbert Ngurumo said...

Asante kwa sahihisho. Nimelifanyia kazi. NGURUMO

Anonymous said...

Ni msomaji, mfuatiliaji na mpenzi mkubwa wa makala zako makini. Keep it up

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'