
Sikiliza na fuatilia midahalo kati ya wagombea urais wa Marekani, Barack Obama na John McCain. Fanya tathimini na uchambuzi kujua nani zaidi.
1. Mdahalo wa Kwanza: 27.09.2008.
2. Mdahalo wa Wagombea wenza (Joe Biden na Sarah Palin) 03.10.2008
3. Mdahalo wa Pili: 07.10.2008 au HAPA 4. Mdahalo wa Tatu: 15.10.2008
Wengine wameshatoa tathmini na kugawa alama B+ na B. Wewe unatoa ngapi?
1 comment:
Obama zaidi.
Post a Comment