Tuesday, November 11, 2008

Obama na Bush Ikulu


Rais Mteule wa Marekani Obama ameingia katika ofisi ya rais kwa mara ya kwanza kukutana na mwenyeji wake, rais anayestaafu George W. Bush, kama sehemu ya mchakato wa makabidhiano ya madaraka yanayoendelea hadi Januari 20, 2009.

3 comments:

Anonymous said...

What a setting! Is this the same Obama who used to lament "Bush failed policies" on the campaign trail? Good start!

Anonymous said...

Hii kitu poa kabisa...endelea mwanangu.

MARKUS MPANGALA said...

jamaa hapo juu asihofu kuhusu tukio hili kwani huu ni uungwana. Lakini pamoja na yote najiuliza maswali kadhaa kuhuas sisi waafrika na tawala zetu. Kichaka anajua kwamba Obama anahoja lakini kwa utaratibu wa white house je atakuwa yuleyule Obama? May be, lakini siyo wale waliotuahidi kwamba 2005 ' i mighty be wearing a smile but firm on issues' sawa hizo issue ni kusafiri na kuwafunga midomo akina Kubenea{much respect bro} ha ha ha ha nacheka sasa kwani kila kitu naona tumekwamba. AU SIRUHUSIWI KUJALIDILI SIASA ZA BONGO? yaani toka kwa gvana hadi wasimamizi wa idara. hawa watu wa idara ndiyo watuhumiwa???? kazi tunayo!!!!
kazi njema kaka

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'