Friday, January 16, 2009

Nami nimehojiwa

Nimezoea kuhoji na kuandika wengine, sasa nami nimedakwa nakuhojiwa kuhusu umuhimu na maendeleo ya blogu katika Afrika. Soma mahojiano na jarida moja jipya la karne ya 21 lijulikanalo kama RAP21 hapa.

1 comment:

John Mnyika said...

Nimesoma mahojiano yako. Hongera sana. Blogu yako ni sehemu ya uchochezi wa udadisi na uhamasishaji wa fikra mbadala. Nimesoma makala yako ya leo kuhusu 'maparoko vs mkapa', nakubaliana nawe kwa kiasi kikubwa. Ukombozi utapatikana. Ubarikiwe

JJ

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'