Friday, April 17, 2009

Jogoo wa shamba kawika mjini London

Mama huyu mwanakijiji Susan Boyle amekuwa gumzo. Inawezekana wakati wewe utamtazama na kumsikiliza hapa utakuwa mtu wa milioni 17 ndani ya wiki moja. Chema kimejiuza; na jogoo wa shamba amewika mjini. Msome, msikilize; huyu hapa.

1 comment:

Subi said...

Ngurumo,
Aisee huyu dada sijui mama sijui mwanamke ama nini, yaani Susan amekonga nyoyo za watu ile mbaya. Kila anayemsikiliza na kumwona katika ile video clip anakubali kuwa ni makosa kuzima ndoto zako ati shauri ya umri tu.
Asante kwa habari ya Yahoo. Mafanikio yake ni chachu kubwa si tu kwa watu wa rika lake bali kwa kila mtu kufahamu kuwa 'Inawezekana, usife moyo wala usikate tamaa'.
Go Susan! A wake up call!

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'