Tuesday, June 29, 2010

Urafiki huu ni wa kweli?
Ama kweli, swala huyu ana bahati isiyo ya kawaida ya "kupendwa" na chui!

2 comments:

Anonymous said...

Haya ni sawa na mapenzi ya wanasiasa wa Ki-Afrika...wanakuchekea kumbe wewe ndio kitoweo chao,,au unaonaje??

Anonymous said...

hao sio chui mdau, hao ni duma. unaweza kutofautisha kati ya chui na duma kwa njia hii... duma wana alama kama machozi usoni, chui hawana.

duma ni mnyama mwenye mbio kuliko wanyama wote (duniani) kwahiyo hata kama swala akiamua kukimbia, hatofika mbali.

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'