Tunahitaji kujua kwa sababu hatujui; na hatuwezi kujua kama hatujui kwamba hatujui...Hatutajua chochote iwapo hatutahoji na kudadisi. Na kadiri tunavyojua, ndivyo tunavyogundua kwamba hatujui...
Sunday, February 27, 2011
Chadema katika picha kwa Mwalimu Nyerere
1 comment:
Anonymous
said...
Wadau naomba kuuliza!!!!!! Nasikia miaka ya 1990 pamoja na NCCR-MAGEUZI ndicho kilikuwa chama cha upinzani chenye nguvu lakini Hayati Mwl Nyerere alitabiri kwamba chama kitakachokuwa mbadala wa CCM ni CHADEMA pamoja na kwamba kipindi hicho CHADEMA hakikuwa na nguvu sana? Nipeni msaada.
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'
1 comment:
Wadau naomba kuuliza!!!!!! Nasikia miaka ya 1990 pamoja na NCCR-MAGEUZI ndicho kilikuwa chama cha upinzani chenye nguvu lakini Hayati Mwl Nyerere alitabiri kwamba chama kitakachokuwa mbadala wa CCM ni CHADEMA pamoja na kwamba kipindi hicho CHADEMA hakikuwa na nguvu sana? Nipeni msaada.
MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU KIBARIKI CHADEMA.
Post a Comment