Sunday, July 08, 2012

Nukuu ya Leo

"Katika mapambano ya ukombozi ni lazima wengine wawe mbegu, sisi tupo tayari kufanywa mbegu.” Dk. Willibrod Slaa Julai 8, 2012: Dar es Salaam

2 comments:

Amos Msengi said...

Hata Mungu alimtoa mwanae wa pekee afanyike sadaka ya kuteketea msalabani kwa ajili ya ukombozi wa wanadamu.

Amos Msengi said...

Hata Mungu alimtoa mwanae kwa ajili ya ulimwengu huu.

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'