Monday, July 04, 2005

Hofu yatawala CCM

•Wanachama waanza kuogopa kuhujumiana
•Hajapatikana kiongozi wa kumnadi Jakaya Kikwete
•Kisa? Kejeli za kuitana washindi na wajeruhiwa
•Wasema ubabe wa Mkapa unawapa hoja wapinzani


Na Ansbert Ngurumo

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeanza kuweka mkakati wa
kujipanga kukabiliana na upinzani katika Uchaguzi Mkuu
wa mwaka huu, lakini tayari kimeanza kuwa na hofu ya
kuhujumiwa na wanachama wake. Habari kamili soma hapa.

1 comment:

Indya Nkya said...

Nimefurahi sana kuingia kwako ukumbini. Wengi ambao hatupo hapo nyumbani tunakosa uchambuzi wako na wa wachambuzi wengine kwenye Tanzania Daima. Tunatarajia tutayapata sasa. Karibu sana na tupatie hizo makala.

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'