Monday, November 06, 2006

Kifo cha Saddam Hussein


Hajafa, lakini mazingira yanaonyesha kuwa atakufa. Unasemaje kuhusu hukumu dhidi yake? Soma maoni ya "dunia," sifa zake na historia yake.

1 comment:

Reginald S. Miruko said...

Inawezekana hayo yote Saddam aliyafanya. Au tuseme tu aliyafanya kama hukumu aliyopewa inavyoeleza. Lakini kwa vyovyote vile, mimi siamini kuwa hali ilikuwa mabaya nchini Iraq wakati wa utawala wake, kama ilivyo mbaya sasa wakati wa utawala wa 'Bush'. Hivyo, kwa maoni yangu, aliyeharibu hali ya Iraq na kusababisha mauaji ya maelfu ya watu wa nchi hiyo, askari wa US na UK, uharibifu wa miundombinu na kupoteza amani ya watu wa Iraq, anastahili adhabu ya kifo mara mbili.-RSM-

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'