Sunday, June 03, 2007

Watanzania wataacha lini kuwashabikia 'manabii'?

'Nabii' mmoja wa Tanzania aliyedai ametokewa na Roho Mtakatifu, alioa wanawake wote kijijini kwake, akazaa nao watoto 59 ambao hakuwasomesha! Aliwaahidi wafuasi wake kwamba wangepaa kwenda mbinguni baada ya miaka 70, akafa kabla ya unabii wake kutimia. sasa limekuwa zogo. Watanzania tunapata somo gani? SOMA hapa.

8 comments:

Anonymous said...

Watanzania tumelala fofofo! ndiyo maana hatusikii sauti ya mabadiliko.

Anonymous said...

Habari za kitabu? Na kwa nini tuwahoji viongozi wetu kabla hawajafa? (Utani!) +255784453775

Anonymous said...

Nasema "amina" kwa "maswali magumu." Hongera!

Anonymous said...

makala safi sana. Inafikirisha sana. Congratulations!

Anonymous said...

ahsante, makala yako unatuelimisha vizuri...

Anonymous said...

hi, mi kwetu bagamoyo. nimesoma gazetini makal hii, safi sana. nashukuru ujumbe umefika.

Anonymous said...

Kila mtu na Nabii wake kuna wengine nabii wao kikwete,wengine nabii wao MBOWE,wengine nabii wao seif haman,hiyo ni nature katika hulka za kibinadamu

ASSENGA said...

Nimeipenda hii bwana Ngurumo,Ila CCM inainvest katika ujinga iliyopa watanzania ndani ya 40+yrs ya uhuru.Anyway Ukiyastaajabu ya Daudi na Uria utayaona ya ANBEN na Mkpa

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'