Sunday, July 15, 2007

Marais wastaafu wafe au washitakiwe?

Rais mstaafu anapokufa taifa haliyumbi. Lakini wapo wanaosema kwamba akishitakiwa kwa makosa aliyofanya akiwa madarakani taifa litayumba. Hii ni kweli au kuna linalofichwa nyuma ya hoja hii? Soma mjadala.

3 comments:

Reggy's said...

Naona umeendelea kuwapa ukweli wao. Na gazeti limeongeza uzito wa kuanzia maswali magumu Front page. KIla la kheri, na masomo mema.

Anonymous said...

Kama chiluba, viongozi wetu wanavaa suti za wizi!!! Chenge alihusika na maovu na ubadhilifu wote wa awamu ya Mkapa na Kikwete anaendelea nae atuibie vizuri huko miundombonu!! CCM ni "NOSTRA COSTRA" chama cha "MAFIA" ndio maana yeyote anayejaribu kuwaumbua atakufa kwasababu chama kinategemea fedha za wauza "UNGA" na nchi yetu imekuwa NARCO-REPUBLIC!!! Ansbert ikiwezekana kaa huko huko Hull uandike toka huko!!

Anonymous said...

Ngurumo, hongera. Hawa jamaa wanaweza kujifnaya hawasikii, lakini wanasikia, na kama hawasikii tutawaonyesha kilichomnyoa kanga manyiya shingoni. Siku hiyo yaja!

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'