Sunday, January 18, 2009

Maparoko na Mkapa

SOMA hapa kuhusu kisa cha maparoko wa Rais Mstaafu Benjamin Mkapa.

3 comments:

MARKUS MPANGALA said...

sijui ni nani aliwavika uparoko, lakini ajabu wanadai tukubali kukengeuka kwasababu wao wameshakengeuka. Sasa kama kunani mkuu akikosea hawezi kuambiwa umekosea, tunamsahihisha, tunamwelekeza,tumwadabisha kwamba tulipokula majani tukuliwa tunakungojea uje uandabishwe. SWALI kwanini mara mbili ameshindwa kutwa tuzo ya MO IBRAHIM? ni hayo hayo na mengineyo

Anonymous said...

Ndugu mhandishi naomba kukupongeza kwa makala yako. Sijui kama unaandika kwa nia ya kuwaponda mapadri wa Kanisa Katoliki au la... mim ni mtanzania kwa bahati naishi hapa UK, nasoma hapa UK as well. Mara baada ya kusoma article yako nilichofanya ni kutafuta hiyo "homily" ya paroko. Ndugu mwandishi nadhani alichosema Paroko akutetea Mkapa bali ameelezea ni jinsi gani tunatakiwa kuongelea siyo mabaya tu, pia tuangalie mazuri aliyofanya mtu. Nadhani unao uhuru wa mawazo, but this one have been stupid... to critized something without researches, mimi nakufahamu sana wewe, pia nakuheshimu sana, nadhani hukuwatendea haki maparoko, labda ungesema "paroko" than "maparoko" inakuwa kama vile maparoko wote walisema statment moja. Thanks

Anonymous said...

We Anonymous hapo juu kuna jambo umelipuuza. Mwandishi katumia lugha ya kijournalist kuchagua kichwa cha habari na ujumbe wa msingi. Ukichunguza sana utaona kwamba amejitahidi kufafanua maana ya neno paroko, na akasema kwa matumizi ya MAKALA hii. Hapa unahitaji kujua kidogo FASIHI tu kumwelewa mwandishi.

Vile vile, ukichunguza kwa makini, umekuwepo mwelekeo wa baadhi ya viongozi wa dini kutumia madhabau kutetea maovu. Mwandishi hajasema kwamba Mkapa hajafanya mazuri, na amesisitiza kwamba Mpaka HAJAHUKUMIWA, bali ANATUHUMIWA tu; lakini akasisitiza kwamba mazuri yake yasifanywe kigezo cha kutetea ufisadi wa vigogo huku wananchi wa kawaida wakisweka lupango kwa vijikosa vidogo, na viongozi wa dini hawawatetei.

Zaidi ya hayo, sioni dalili za chuki kati makala hii. Kwani wewe hutaki hata viongozi wa dinii wakosolewe? Unataka waachwe tu watumie kofia zao za kidini kupotosha umma?

Vile vile, hata hayo mahubiri unayozungumzia katika mzishi ya hayati malima, yalikuwa out of place. Padri angeweza kusisitiza hoja yake bila kumtaja Mkapa, kwani mifano ni mingi tu. Hii inadhihirisha kwamba ingawa yeye hakusema NAMTETEA Mkapa, ujumbe wake ulilenga KUMTETEA. Kwa hiyo nadhani mwandishi amefanya tafsiri sahii tu ya kile kilichotokea na kinachoendelea nchini. Hata viongozi wa dini wanastahili kukosolewa.

My photo
Nimechongwa na mambo haya: Falsafa, Fasihi, Muziki, Habari na Harakati. Sifuati mkumbo. Napenda kuhoji na kudadisi - hulka ya kifalsafa ya kuusaka ukweli - 'UKWELI ULIO UCHI.'